Nimepona majeraha - Miraji

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Apr 2020
Nimepona majeraha - Miraji

Mshambuliaji wa Simba Miraji Athumani amesema amepona majeraha yaliyomuweka nje kwa zaidi ya miezi minne

Akihojiwa na mashabiki wa Simba kwenye kipindi cha ChatNa, Miraji alisema tayari ameanza mazoezi

"Namshukuru Mwenye ez Mungu nimepona kabisa, najisikia kuwa na afya njema na tayari nimeshaanza mazoezi mepesi," alisema

"Nilikuwa na wakati mgumu kipindi chote nilichokuwa sichezi kwani nlitamani nami niingie uwanjani lakini ndio hivyo isingewezekana kutokana na majeraha"

"Ninaendelea kufanya mazoezi ili nikirejea kikosini niweze kuendeleza pale nilipoishia"

Katika mechi 10 alizoitumikia Simba mwanzoni mwa msimu kabla ya kupata majeraha, Miraji alifunga mabao sita na kusababisha mabao mengine manne

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
4h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
8h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
14h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’