Uongozi wa klabu ya Simba umewazuia wachezaji wake kuzungumza na waandishi wa habari kiholela bila ya kupewa ruhusa maalum
Mtendaji Mkuu wa mabingwa hao wa nchi Senzo Mazingisa, amesema sio utaratibu kwa kila mchezaji kuzungumza na wanahabari wakati wowote anapojisikia kwani jambo hilo linaweza kuleta mkanganyiko baadae
Katazo hilo limekuja siku chache baada ya kiungo Jonas Mkude na mlinda lango Aishi Manula kufanya mahojiano 'mbashara' na EFM Radio
ADVERTISE HERE