Tusifanye masihara na Corona - Wawa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 Apr 2020
Tusifanye masihara na Corona - Wawa

Beki kisiki wa mabingwa wa nchi, Pascal Wawa, amesema kuwa kila mmoja anapaswa kuchukua tahadhari kubwa na virusi vya corona, ni ugonjwa hatari

Baada ya Simba kutoa mapumziko kwa wachezaji wake, Wawa hakurejea kwao Ivory Coast ambapo amebainisha kuwa amekuwa akifanya mazoezi binafsi kujiweka fiti lakini pia akichukua hatua muhimu kujikinga na ugonjwa huo

"Nipo nyumbani, hali bado haijawa nzuri kwa sasa tunaomba Mungu mambo yarudi kama zamani. Tunapaswa kuchukua tahadhari kuhusu ugonjwa huu hatari," alisema Wawa

Nyota huyo aliyewahi kuitumikia Azam Fc na kuisaidia kupata ubingwa wa Ligi Kuu msimu wa 2013/14, amesema anaamini changamoto ya maradhi haya itakapopungua, wapenzi na mashabiki wa soka wataendelea kupata burudani ambayo tayari wameikosa kwa wiki mbili

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’