Tarehe kama ya leo alizaliwa kiungo fundi wa Simba Jonas Mkude
Ukizungumzia wachezaji waliolinda viwango vyao kwa muda mrefu, Mkude ni mmoja wao
Ndio mchezaji aliyedumu kwa muda mrefu zaidi ndani ya kikosi cha Simba cha sasa
Tunamtakia kila la kheri kwenye siku hii muhimu ya kumbukumbu kwake
HAPPY BIRTHDAY MKUDE.!
ADVERTISE HERE