Tuchukue tahadhari virusi vya Corona

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
31 Mar 2020
Tuchukue tahadhari virusi vya Corona

Waziri wa Afya Mh Ummy Mwalimu ametbitisha kifo cha mgonjwa wa kwanza aliyekuwa na maambukizi ya virusi vya Corona hapa nchini

Tunapaswa kuendelea kuchukua tahadhari kwani idadi ya maambukizi nayo imeendelea kuongezeka ambapo mpaka sasa idadi ya maambukizi ni watu 19

Ni muhimu kusikiliza ushauri wa wataalam, tujiepushe na mikusanyiko isiyo na lazima

Kama huna sababu ya kutoka nyumbani, baki nyumbani

Β 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
12h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
15h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’