Uongozi wa klabu ya Simba umeeleza kupokea kwa mshituko kifo cha aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Uchaguzi Iddi Mbitta aliyefariki Alfajiri ya leo Hospitali ya Mloganzila
Mbitta alipata maambukizi ya virusi vya Corona ambapo kabla ya kupelekwa Mloganzila, alikuwa amelazwa Hospitali ya Agha Khan
Pumzika kwa amani Mwanasimba mwenzetu, Iddi Mbitta

ADVERTISE HERE