Nyota Simba watakiwa kambini leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
31 Mar 2020
Nyota Simba watakiwa kambini leo

Inaelezwa wachezaji wa Simba wametakiwa kuripoti kambini leo kwa ajili ya maelekezo ya nini wanapaswa kufanya

Kwa wachezaji waliosafiri nje ya nchi watalazimika kukaa karantini kwa siku 14 kabla ya kuruhusiwa kujumuika na wachezaji wengine

Miongoni mwa mambo ambayo uongozi wa Simba umepanga kufanya, ni kuwachukua vipimo wachezaji wote kuhakikisha afya zao ziko salama

Nyota hao huenda wakapewa program zaidi ya mazoezi

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
20m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
3h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
18h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
21h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’