Tcheche atajwa Msimbazi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Mar 2020
Tcheche atajwa Msimbazi

Mshambuliaji wa zamani wa Azam Fc Kipre Tchetche ni miongoni mwa wachezaji ambao wanatajwa kuwaniwa na mabingwa wa nchi, Simba

Wengi watakuwa wanamfahamu nyota huyu ambaye aliitumikia Azam Fc kati ya mwaka 2011 na 2016 akitengeneza pacha hatari na John Bocco ambaye kwa sasa ni nahodha wa Simba

Tchetche raia wa Ivory Coast kwa sasa yuko Malaysia akiitumikia klabu ya Kedah inayoshiriki ligi kuu ya nchi hiyo

Msimu uliopita Tchetche aliibuka mfungaji bora wa ligi hiyo, inaelezwa viongozi wa Simba wamekuwa wakimfuatilia kwa muda sasa na wameridhishwa na uwezo wake

Tchetche alikuwa kwenye kikosi cha Azam Fc kilichotwaa ubingwa wa ligi kuu msimu wa 2013/14 kikiwa na Bocco na Paschal Wawa ambao sasa wako Simba

Hata hivyo msimu huu Simba haifanyi usajili kwa kukurupuka

Mtendaji Mkuu wa mabingwa hao watarajiwa Senzo Mazingisa amedokeza kuwa jukumu la kuwafuatilia wachezaji wanaotaka kuwasajili linafanywa na kampuni mahsusi

Wachezaji wote watafanyiwa tathmini na kisha mapendekezo yatatolewa lakini moja ya vigezo ambavyo vitazingatiwa ni umri

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’