Shonga kutua Simba freshi, Pirates wanataka mkwanja tu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Mar 2020
Shonga kutua Simba freshi, Pirates wanataka mkwanja tu

imu ya Orlando Pirates umeweka wazi kuwa upo tayari kumuachia straika wao, Mzambia, Justin Shonga katika usajili ujao iwapo watafikia muafaka na timu inayomuhitaji.

Kauli hiyo imetolewa ikiwa ni siku chache tangu kuwepo kwa taarifa za Mzambia huyo kuhitajika na Simba kwa ajili ya msimu ujao ambapo timu hiyo inatarajiwa kushiriki michuano ya kimataifa.

Mzambia huyo alijiunga na Orlando mwaka 2017 ambapo katika msimu wake wa kwanza alifanikiwa kucheza mechi 19 akifunga mabao manne. Msimu uliopita alifunga mabao sita katika mechi 29.

Taarifa kutoka kwa vyanzo vya uhakika Afrika Kusini vinadai kuwa, Simba wana nafasi kubwa ya kumpata mshambuliaji huyo iwapo wataweka pesa ya kutosha kutokana kocha wa sasa wa timu hiyo kutomkubali.

Afisa Habari wa Orlando, Thandi Merafe amesema Simba bado hawajapeleka taarifa maombi rasmi ya kumtaka mchezaji huyo

β€œKwanza suala la Simba kumuhitaji Shonga bado halijafika kwenye meza yangu, kwa sasa ligi yetu imesimamishwa kwa muda kutokana mlipuko wa hili janga la Corona.

β€œSuala la yeye kuongeza mkataba ni kweli tumemuongeza na hakuna timu ambayo inakataa kuuza mchezaji iwapo maslahi yanapokuwa mazuri, ila kwa sasa ni jambo la kusubiri huu wakati upite ili kuweka wazi kila kitu.”

GPL

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’