Simba inaendelea na utaratibu wake wa kuwaweka wachezaji karibu na mashabiki kupitia kipindi maalum kinachoitwa 'ChatNa' ambapo wachezaji wanapata nafasi ya kujibu maswali ya mashabiki 'mbashara' kupitia ukurasa rasmi wa Simba wa mtandao wa Instagram
Kipindi cha leo Jumapili kitakuwa saa nane mchana, ambapo mlinda lango Beno Kakolanya atafunguka mengi kwa mashabiki
ADVERTISE HERE