TAARIFA KWENDA KWA VIONGOZI WOTE WA MA GROUP YA SIMBA

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Mar 2020
TAARIFA KWENDA KWA VIONGOZI WOTE WA MA GROUP YA SIMBA

Tunapenda Kutoa Taarifa kwa Wapenzi, Mashabiki na Wanachama wote waliopo kwenye Group mbalimbali za Simba kuwa Waweze kutumia utaratibu wa kutambuzi wa mwanzo ndani ya group kwa kuanza kutoa majina ya Wanachama wenye kadi za Simba na wale ambao hawana kadi kwa maana sio Wanachama bali ni Mashabiki.

Kwa maana hii tutaweza kujuana kuwa nani ni nani na anahitajika nini afanye kwa wakati gani.

MFANO MUHIMU

Kwa wote ambao ni mashabiki ni lazima waanze kwenda kuchukua Kadi za mashabiki Equity Bank au kuanza kujiorodhesha matawini sehemu walipo ambako huduma ya Equity bank haijafika ili kuweza kuwatambua na kufikiwa kwa huduma.

MWISHO

Hatutaruhusu hapo baadae kuwepo watu kwenye group za Simba zilizosajiliwa kama wewe sio Mwanachama hai au Mshabiki wenye kadi ya Equity.

Lazima tubadilike tuwe Rasmi tuipende Simba kwa vitendo.

NGUVU MOJA..

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’