Dilunga anawindwa kila kona

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Mar 2020
Dilunga anawindwa kila kona

Hassan Dilunga amekuwa na msimu mzuri ndani ya kikosi cha Simba na haishangazi kuona timu nyingi zimejitosa kumuwania

Mkataba wake na Simba unamalizika mwishoni mwa msimu na inaelezwa vilabu kadhaa kutoka Misri na Afrika Kusini vimeonyesha nia ya kutaka kumsajili

Dilunga ambaye ameifungia Simba mabao saba kwenye ligi, inaelezwa mkononi ana ofa kutoka klabu moja ya Afrika Kusini ambayo ilimtaka kwa ajili ya majaribio

Alishindwa kwenda wakati huu baada ya ligi hiyo kusimama kutokana na janga la Corona

Lakini Simba haiko tayari kumuona kiungo huyo akiondoka Msimbazi, inaelezwa mazungumzo ya mkataba mpya yanaendelea

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’