Nikirudi nasaini - Chama

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Mar 2020
Nikirudi nasaini - Chama

Kiungo fundi wa Simba Clatous Chama amesema amekwenda Zambia kwa ruhusa ya uongozi baada ya kuibuka kwa virusi vvya Corona nchini lakini atakaporejea atakamilisha mazungumzo ya mkataba mpya yaliyokuwa yameanza

Hivi karibuni kuliibuka tetesi kuwa Chama aligomea mazungumzo ya mkataba mpya mpaka akiomba zoezi hilo lifanyike baada ya msimu kumalizika

Chama amekanusha taarifa hizo na kusisitiza kuwa atakaporejea kila kitu kitakuwa sawa

"Kwa sasa niko mapumziko Zambia nikijikinga na janga la Corona lakini kwa ufupi tu hakuna ukweli wowote kuwa nimekataa kusaini mkataba mpya Simba, hayo ni maneno ya watu tu

"Ninachoweza kuwaambia msubiri muda sahihi utakapofika, kwani sasa nipo mapumziko nikijifua ili kulinda kiwango changu," alibainisha Chama

Msimu huu Simba imebadili utaratibu wake ambapo imeanza kuwapa mikataba mapema wachezaji wote ambao wamependekezwa na Mwalimu kuendelea kubaki Msimbazi

Nyota mwingine anayetarajiwa kupewa mkataba ni winga Deo Kanda ambaye hata hivyo anawaniwa na klabu yake ya TP Mazembe iliyomtoa kwa mkopo Simba

Mkataba wake na Mazembe unamalizika mwezi Juni

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’