Simba kuwabana watakao-kacha mazoezi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Mar 2020
Simba kuwabana watakao-kacha mazoezi

Wakati huu Ligi ikiwa imesimama baada ya Serikali kuchukua tahadhari kudhibiti maambukizo ya ugonjwa wa Corona, Simba pamoja na timu zote zinazoshiriki ligi kuu zimewapa wachezaji mapumziko kuwatenga ikiwa ni agizo lililotolewa na Serikali kuzuia mikusanyiko ya aina yoyote kwa muda wa siku 30

Sasa kwa upande wa Simba wachezaji walipewa program maamum za mazoezi ambayo wanapaswa kuyafanya huko makwao

Hili ni suala la mchezaji kujisimamia yeye mwenyewe lakini uongozi wa Simba umebanisisha kuwa watawabaini wachezaji ambao watapuuzia program hizo

Moja ya mikakati iliyowekwa ni kuwa watakaporeja, kila mchezaji atapimwa utimamu wake wa mwili hivyo kwa wale ambao hawatakuwa 'fit' watawajibishwa

Ligi bado haijakamilika raundi 10 za mwisho Simba ikiwa inaongoza msimamo baada ya kujikusanyia alama 71

Simba itahitaji kushinda mechi tano tu ili kutetea ubingwa wake kwa msimu wa tatu mfululizo

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
8h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
11h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’