Mwili wa aliyewahi kuwa msemaji wa klabu ya Simba Asha Muhaji umepumzishwa leo katika nyumba yake ya milele Magomeni Mapipa jijini Dar es salaam
Mwanahabari huyo mahiri alifariki jana Hospitali ya Hindu Mandal alikokuwa amelazwa baada ya kuugua kwa muda mfupi
Amezikwa makaburi ya Mwinyi Mkuu yaliyopo Magomeni Mapipa
Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi, Amen..
ADVERTISE HERE