Kagere akabiliwa na changamoto ya usafiri Rwanda

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Mar 2020
Kagere akabiliwa na changamoto ya usafiri Rwanda

Mshambuliaji wa Simba Meddie Kagere anaweza kuchelewa kurejea nchini kufuatia Mashirika ya usafirishaji huko Rwanda kufuta safari zote kwa muda wa siku 30 kutokana na mlipuko wa Ugonjwa wa Covid-19 unaosambazwa na Virusi vya Corona.

Uogozi wa Simba ulimruhusu Kagere kurejea kwao Rwanda kwenda kumuuguza mama yake ambaye ni mgonjwa

Alitarajiwa kurejea kabla ya April 17 ambayo inatarajiwa Ligi Kuu itaendelea

Hata hivyo kwa taarifa iliyotolewa juzi, Mashirika mengi ya usafirishaji yamefuta safari zote kwa muda wa siku 30 kutokana na taarifa iliyotolewa na wizara ya afya ya nchi hiyo kufuatia kuwepo kwa ugonjwa huo

Kinara huyo wa mabao huenda akalazimika kutumia usafiri wa barabara ili kuweza kuwahi mechi zilizobaki kama TFF itabariki ligi kuenelea baada ya siku 30

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
8h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
8h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
11h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1d ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’