Chama aanza sarakasi za Okwi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Mar 2020
Chama aanza sarakasi za Okwi

Inaelezwa uongozi wa klabu ya Simba unaendelea na mchakato wa kuwaongezea mikataba nyota wao ambao mikataba imebaki muda mfupi

Huu ni utaratibu amao mabingwa hao wa nchi wamekuja nao ili ifikapo mwezi Juni washughulikie masuala ya wachezaj wapya tu

Kiungo Mzambia Clatous Chotta Chama 'Mwamba wa Lusaka' ni miongoni mwa wachezaji ambao wako kwenye mpango wa kupewa mikataba mipya

Lakini nyota huyo kinara wa pasi za mabao ligi kuu amegomea mazungumzo ya mkataba mpya wakati huu akitaka yote yafanyike mwishoni mwa msimu

Ifikapo mwezi Julai mkataba wake utakuwa umemalizika na pengine Simba inaweza kukutana na changamoto ya kumbakisha Msimbazi

Wakati huu ambao ligi imesimama kutokana na janga la Corona, Chama aliruhusiwa kurudi kwao Zambia kushughulikia masuala binfasi

Msimu uliopita Simba ilimpoteza mshambuliaji wake kinara Emmanuel Okwi ambaye aligoma kusaini mkataba mpya akitaka mazungumzo yafanyike baada ya michuano ya AFCON kumalizika

Hata hivyo baadae akatimkia klabu ya Ittihad ya Misri

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’