Simba kurejea Dar leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Jan 2018
Simba kurejea Dar leo
Kikosi cha Simba kinarejea leo jijini Dar es salaam kutoka mkoani Morogoro ambako kiliweka kambi ya siku nne kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Singida United kesho.

Simba itaivaa Singida United kwenye mchezo unaotarajiwa kupigwa katika uwanja wa Taifa baada ya uwanja huo kufunguliwa rasmi.

Kaimu Kocha Masudi DJuma amesema vijana wake wako tayari kuondoka na alama zote tatu katika mchezo huo wa kukata na shoka
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
4h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’