Ndemla kutimkia Sweden

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Mar 2020
Ndemla kutimkia Sweden

Kuna uwezekano mkubwa kiungo wa Simba Said Khamis Ndemla atatimkia nchini Sweden kusakata soka la kulipwa baada ya mkataba wake na Simba kumalizika

Mwaka jana Ndemla alifanya majaribio klabu ya Ligi daraja la kwanza AFC Eskilstuna na inaelezwa alifuzu majaribio lakini klabu hiyo ikashindwa kufikia dau la usajili lililowekwa na Simba

Hata hivyo ifikapo mwezi Juni, Ndemla atakuwa mchezaji huru ambapo inaelezwa nyota huyo amegoma kusaini mkataba mpya

Ndemla ni mmoja wa wachezaji waliodumu kwa muda mrefu kwenye kikosi cha Simba lakini hakuwa na msimu mzuri baada ya kuzidiwa na changamoto ya kupata nafasi kwenye kikosi cha kwanza

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
11h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’