Wachezaji aina ya Mkude ni ngumu kupatikana - Kotei

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Mar 2020
Wachezaji aina ya Mkude ni ngumu kupatikana - Kotei

Kiungo wa zamani wa Simba James Kotei amemvulia kofia mwamba Jonas Mkude akibainisha kuwa ni aina ya wachezaji ambao sio wengi duniani

Kotei amesema Mkude anastahili kuungwa mkono na kupewa sapoti ili kuhakikisha kipaji chake kinainufaisha Simba pamoja na Tanzania kwa ujumla

"Kwa maoni yangu, nina heshima kubwa kwa Mkude..Ni kipaji cha pekee na mtu muhimu kwa klabu ya Simba"

"Mtu wa aina yake ni ngumu sana kupatikana, jivunieni pia muungeni mkono. Lakini namkumbusha Mkude kuwa afahamu watu wanampenda sana, wanachotaka kutoka kwake ni manufaa ya kipaji alichonacho," aliandika Kotei kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram

Pamoja na kuwa hayupo nchini, Kotei ameendelea kuifuatilia klabu ya Simba na akidhirisha kuwa mabingwa hao wa nchi wako kwenye damu yake

Mwezi Januari alikataa kujiunga na Yanga akitoa sababu kuwa kufanya hivyo ni kuwasaliti mashabiki wa klabu ya Simba ambao wanamuheshimu sana

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’