Simba yamrudia Shonga

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Mar 2020
Simba yamrudia Shonga

Baada ya kumkosa kwenye dirisha kubwa la usajili, uongozi wa Simba umeanza tena kuisaka sahihi ya mshambuliaji wa Orlando Pirates Justine Shonga, raia wa Zambia

Taarifa za uhakika ni kuwa mpango huo unasimamiwa na Mtendaji Mkuu Senzo Mazingisa ambaye ni raia wa Afrika Kusini

Senzo pia ndiye aliyepindua meza kibabe kwa usajili wa Luis Miquissone ambaye awali alikuwa mbioni kujiunga na Yanga

Wakati Yanga wakifanya mazungumzo na Miquissone, Senzo alitumia wenyeji wake Afrika Kusini kwenda moja kwa moja kuzungumza na mabosi wake Mamelodi Sundowns na baadae kumshawishi mchezaji huyo kujiunga na Simba

Senzo amewahi kufanya kazi klabu ya Pirates hivyo hatakuwa wakati mgumu kukamilisha dili hili

Simba imepania kuimarisha kikosi chake kwa ajili ya michuano ya ligi ya mabingwa ili kuhakikisha msimu ujao wanafika mbali kama walivyofanya mwaka juzi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’