Simba yamuandalia mkataba Kanda, Mazembe yakomaa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 Mar 2020
Simba yamuandalia mkataba Kanda, Mazembe yakomaa

Klabu ya Simba  inamshawishi winga Deo Kanda asaini mkataba wa kudumu kunako mabingwa hao wa nchi

Baada ya kujihakikishia kutwaa ubingwa wa ligi kuu kwa msimu wa tatu mfululizo, mipango iliyopo ni kujenga kikosi imara ambacho kitatoa ushindani kwenye michuano ya ligi ya mabingwa

Kanda ni mchezaji mwenye uzoefu mkubwa wa michuano hiyo, alitua Simba kwa mkopo wa mwaka mmoja ambao unamalizika mwezi Juni

Mcongomani huyo ameonyesha kuwa tayari kubaki Simba hata hivyo klabu ya TP Mazembe ambayo inammiliki nyota huyo mpaka Juni mkataba wake utakapomalizika, nayo inapambana kumrejesha DRC

Kutimuliwa kwa kocha Mihayo Kazembe kunaweza kumshawishi Kanda kusaini mkataba mwingine na mabingwa hao wa DRC

Inaelezwa Kanda hakuwa na maelewano mazuri na Kazembe na ndio sababu iliyofanya nyota huyo alazimishe kuondoka

Baada ya kutolewa hatua ya robo fainali michuano ya ligi ya mabingwa, TP Mazembe ilimsimamisha Kazembe na inaelezwa hatarejea kuendelea kuinoa timu hiyo

Hata hivyo pamoja na mazingira hayo, Simba ina nafasi nzuri ya kumnasa Kanda ambaye amefunga mabao sita kwenye ligi msimu huu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’