Mo asubiri kukamilika mchakato wa mabadiliko

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
•
17 Jan 2018
Mo asubiri kukamilika mchakato wa mabadiliko
MO tayari ameshinda zabuni ya kuwa mwekezaji mkubwa klabuni hapo kwa dau la Sh20 bilioni akichukua asilimia 50 ya hisa japo Serikali imeweka utaratibu wa mwekezaji kupewa asilimia 49 tu.

Bilionea huyo sasa anasubiri kukamilika kwa mchakato wa mabadiliko ili kuanza kazi, ambapo mmoja wa wasimamizi wa mchakato huo, Mulamu Nghambi amesema mpaka kufikia Juni mwaka huu mambo yatakuwa mazuri Msimbazi.

Nghambi alisema baada ya kumalizika kwa msimu wa sikukuu sasa wanaendelea pale walipoishia ili kukamilisha zoezi hilo la kuipeleka Simba kwenye mfumo wa hisa.

“Kwa msimu huu mambo yataendelea kwa utaratibu uliokuwepo, lakini msimu ujao lazima timu itakuwa tayari imehamia kwenye mfumo wa hisa,” alisema Nghambi.

“Kama ni usajili au mabadiliko mengine makubwa ni mpaka msimu ujao. Hata huyo kocha mpya anayetajwa (Hubert Velud) nadhani analetwa kwa ajili ya malengo ya muda mrefu, ili atengeneze timu ya maana kuanzia msimu ujao,” alisema.

“Kwa upande wa mchakato sehemu ngumu imekwisha, sasa tunaweka tu mambo sawa ili mfumo mpya uweze kufanya kazi tofauti na ule wa zamani kwa ajili ya kuleta utofauti uliokusudiwa,” alisisitiza Nghambi.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
2h ago
READ MORE →
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
14h ago
READ MORE →
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE →
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
22h ago
READ MORE →
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE →
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE →
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE →
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE →
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE →