Simba yachukua hatua kujikinga na Corona

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Mar 2020
Simba yachukua hatua kujikinga na Corona

Wachezaji wote wa vikosi vya Simba kuanzia timu ya vijana, Wanawake na kikosi cha kwanza wamerejeshwa makwao ambapo watakuwa chini ya uangalizi maalum

Wachezaji wa timu ya vijana na ile ya Wanawake watakuwa nje kwa muda wa siku 14 ambapo katika muda huo watapewa utaratibu wa kufanya mazoezi

Aidha kwa wachezaji wa kikosi cha kwanza cha Simba, wao watakuwa nje kwa siku saba wakiwa makwao wakisubiri taratibu nyingine baada ya muda huo kupita

Nao wafanyakazi wa klabu ya Simba wataendelea na majukumu yao wakiwa majumbani kwao kwa muda wa siku saba nao wakisubiri utaratibu mwingine baada ya muda huo kupita

Kwa wale wa nje wameshauriwa kutosafiri kutokana na makatazo yaliyowekwa na nchi mbalimbali duniani

Madaktari wa klabu ya Simba watawapima wachezaji na wafanyakazi wote pale watakaporejea kutoka mapumziko

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’