Simba yamuwania rasta wa Asante Kotoko

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Mar 2020
Simba yamuwania rasta wa Asante Kotoko

Unamkumbuka yule mshambuliaji rasta wa Asante Kotoko ambaye aliifungia timu hiyo bao kwenye mchezo wa Simba Day mwaka 2018 ambao ulimalizika kwa sare ya bao 1-1?

Anaitwa Yacouba Sogne, inaelezwa tayari mabosi wa Simba wameanza kumfuatilia ili kumuongeza kwenye kikosi kitakachoshiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa msimu ujao

Mshambuliaji huyo raia wa Burkina Faso amemaliza mkataba kunako klabu ya Asante Kotoko na amegoma kuongeza mkataba akisubiri ofa nono kutoka kwa timu nyingine

Msimu uliopita Simba ilijaribu kumuwania mshambuliaji huyo lakini hakupatikana, bado alikuwa na mkataba wa mwaka mmoja na timu hiyo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’