Usajili wa Simba kufanyika kama Ulaya

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Mar 2020
Usajili wa Simba kufanyika kama Ulaya

Uongozi wa klabu ya Simba unafanya mazungumzo ya kuwaongezea mikataba baadhi ya nyota wake ambao mikataba yao iko mbioni kumalizika

Kwa miaka mingi, Simba pamoja na vilabu vingi hapa Tanzania vimekuwa na utaratibu wa kusubiri mikataba ya wachezaji imalizike kabisa ndio waanze mazungumzo ya mikataba mipya

Utaratibu huu hupelekea vilabu kuingia gharama kubwa wakati dirisha la usajili linapofunguliwa hasa inapotokea nyota waliomaliza mikataba wanawaniwa na timu nyingine

Azam Fc ni timu ya kwanza hapa Tanzania kutumia utaratibu wa kuwaongezea mikataba nyota wao kabla ya awali kumalizika

Mmoja wa viongozi waandamizi wa Simba amesema nyota wote ambao Simba inawahitaji kuendelea nao watapewa mikataba mapema

Wachezaji ambao mikataba yao inamalizika mwishoni mwa msimu ni pamoja na Paschal Wawa, Sharaff Shiboub, Mzamiru Yassin, Said Ndemla, Yusuph Mlipili, Shiza Kichuya (mkopo) na Deo Kanda (mkopo)

Wengine ni Gerson Fraga na Tairone Da Silva

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
29m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’