Droo ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) inatarajiwa kufanyika kesho Jumatano March 18 saa 5.00 asubuhi.
Timu zilizofuzu hatua hiyo ni;
1οΈ. Alliance
2. Kagera Sugar
3οΈ. Sahare All Stars
4οΈ. Simba
5οΈ. Namungo
6οΈ. Ndanda
7οΈ. Yanga
8. Azam Fc
Huu ni msimu ambao Simba imedhamiria kushinda taji hili kama ilivyo kwa taji la ligi kuu
Mpinzani wa hatua hii atafahamika kesho, Jumatano March 18 2020
ADVERTISE HERE