Simba inaendelea kujifua Mo Simba Arena

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Mar 2020
Simba inaendelea kujifua Mo Simba Arena

Kikosi cha mabingwa wa nchi Simba kinaendelea na mazoezi Mo Simba Arena kujiandaa na mechi za ligi kuu ya Vodacom zilizobaki

Vinara hao wa ligi ambao wanahesabu siku tu waweze kutangazwa mabingwa kwa msimu wa tatu mfululizo, mchezo unaofuata watacheza na Ruvu Shooting

Baada ya Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) kusitisha michuano ya CHAN ambayo ilipaswa kufanyika kuanzia mwezi ujao, nyota wa timu hiyo waliokuwa timu ya Taifa wanatarajiwa kurejea kuungana na wenzao

Pengine ratiba ya Ligi Kuu itaendelea kama kawaida mwishoni mwa wiki iwapo TFF haitachukua uamuzi wa kusimamisha ligi kama zilizvyo nchi nyingine nyingi kutokana na mlipuko wa virusi vya Corona

Jana Serikali ilithibitisha Corona kuingia nchini baada mgonjwa wa kwanza kugundulika mkoani Kilimanjaro

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
30m ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’