Senzo ashangaa uvumi wa Ajib kupelekwa Simba B

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Mar 2020
Senzo ashangaa uvumi wa Ajib kupelekwa Simba B

Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba Senzo Mazingisa ameeleza kushangazwa na kusambaa kwa taarifa zisizo na ukweli zinazodai kuwa Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck amempeleka timu ya vijana (Simba B) kiungo fundi Ibrahim Ajib

Senzo ameeleza kushangazwa na kuenezwa taarifa nyingine zisizo na ukweli kuhusu klabu yake

"Jambo hilo halikufanyika, hakuna ukweli wowote. Kumekuwa na taarifa nyingi ambazo hazina ukweli zimesambazwa mara kwa mara. Ni jambo linalonishangaza," alisema Mazingisa

Habari hiyo iliibuka baada ya kupotoshwa kwa taarifa ya kocha Sven kupanga mchezo wa kirafiki kati ya wachezaji ambao wamekosa nafasi kwenye kikosi cha kwanza cha Simba dhidi ya Simba B

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa siku ya Ijumaa, ambapo Ajib pamoja na nyota wengine ambao hawana nafasi kikosi cha kwanza watacheza

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’