Mkude azua sintofahamu Stars

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Mar 2020
Mkude azua sintofahamu Stars

Kiungo tegemeo wa Simba na timu ya Taifa Jonas Mkude hajaripoti kwenye kambi ya Stars inayojiandaa na michuano ya CHAN itakayofanyika mwezi ujao huko Cameroon (kama haitaahirishwa kutokana na Corona)

Kocha Mkuu wa Stars Etienne Ndayiragije ameeleza kuwa wachezaji wote wa Simba walioitwa wameingia kambini isipokuwa Mkude

Mmoja wa watu wa karibu na Mkude amesema kuwa nyota huyo alielekea mkoani Morogoro kushughulikia masuala ya kifamilia

Kocha Ndayiragije amekusudia kumjumuisha kiungo wa Mtibwa Sugar Abdulhalim Humud kuchukua nafasi yake

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
10h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
14h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’