Nyota wa Simba wameongoza takwimu za mabao ligi kuu ya Vodacom msimu huu
Meddie Kagere ndiye kinara wa mabao akiwa amefunga mabao 19 wakati Clatous Chama ameongoza kwenye pasi za mabao akitoa pasi nane
Aidha Kagere pia ameibuka kwenye pasi za mabao akitoa pasi sita
Takwimu kamili;


ADVERTISE HERE