Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa Makamu Mwenyekiti wa Simba Salim Abdallah 'Tray Again'
Ukizungumzia mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa klabu ya Simba hutakosa kutaja jina lake kwani ndiye aliyekuwa msimamizi mkuu wa mchakato huo
Ni Mwanasimba aliyechangia mafanikio ya klabu ya Simba katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu kwake
HAPPY BIRTHDAY TRY AGAIN..
ADVERTISE HERE