Sven aandaa mechi ya kirafiki dhidi ya Simba B

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Mar 2020
Sven aandaa mechi ya kirafiki dhidi ya Simba B

Nyota wa Simba ambao hawako kikosi cha kwanza wanatarajia kucheza mchezo maalum wa kirafiki dhidi ya kikosi cha pili cha Simba 'Simba B'

Kocha Mkuu wa Simba Sven Van Denbroeck amesema atatumia mchezo huo kuwafanyia tathmini baadhi ya wachezaji ambao hawana nafasi kwenye kikosi cha kwanza

Sven amesema mchezo huo ni sehemu ya program zake za mazoezi katika kuhakikisha kikosi chake kinaendelea kuwa na ushindani

"Kwa hiyo, siku ya Ijumaa tutakuwa na mechi ya kirafiki na Simba B, wachezaji ambao watapambana na timu hiyo zaidi watakuwa ni wale ambao hawana nafasi katika kikosi cha kwanza," alisema Sven

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
10h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’