Simba kuendelea na mazoezi leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Mar 2020
Simba kuendelea na mazoezi leo

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kinaendelea na mazoezi leo baada ya mapumziko ya siku moja

Licha ya kuwakosa nyota tisa walioitwa timu za Taifa, Mkufunzi wa Simba Sven Vandenbroeck amesema wachezaji wengine wataendelea kujifua kama kawaida

Mchezo unaofuata ni dhidi ya Ruvu Shooting hata hivyo bado haujapangiwa tarehe hatma yake ikisubiri maamuzi ya CAF kuhusu michuano ya CHAN inayopaswa kufanyika huko Cameroon

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’