Sven asubiri mkataba mpya Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Mar 2020
Sven asubiri mkataba mpya Simba

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck huenda akaongezwa mkataba mpya mwishoni mwa msimu pale mkataba wake utakapokuwa umemalizika

Sven alitua Simba mwezi Disemba 2019 kwa mkataba wa miezi sita ambao utamuweka Msimbazi mpaka mwishoni mwa msimu

Mbelgiji huyo anaelekea kutimiza malengo aliyopewa ambayo ni kutwaa ubingwa Ligi Kuu huku pia akiwa na nafasi ya kutwaa kombe la FA Simba ikifanikiwa kutinga robo fainali

Baada ya kujihakikishia ubingwa hesabu zimeelekezwa michuano ya Ligi ya mabingwa barani Afrika Simba ikitarajiwa kuwa timu pekee itakayoshiriki kwa upande wa Tanzania baada ya alama kutotosha kuendelea kupewa nafasi mbili na CAF

Mwishoni mwa msimu uongozi wa Simba unatarajiwa kufanya tathmini kabla ya maamuzi ya kumuongeza mkataba kufikiwa

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’