Sven awapa wachezaji mapumziko

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Mar 2020
Sven awapa wachezaji mapumziko

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba leo kimeendelea na mazoezi kwenye uwanja wa Mo Simba Arena kujiandaa na mechi zinazofuata Ligi Kuu ya Vodacom

Baada ya mazoezi ya leo Mkufunzi wa Simba Sven Vandenbroeck aliwapa wachezaji wake mapumziko ya siku moja

Mabingwa hao wa nchi wataendelea kujifua siku ya Jumatatu

Simba inawakosa nyota wake tisa ambao waliitwa timu za Taifa kwa ajili ya majukumu ya Kimataifa

Hata hivyo huenda wachezaji hao wakarejea mapema baada ya mechi nyingi kuahirishwa kutokana na mlipuko wa virusi vya Corona

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
10h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’