Kituo kinachofuata ni Ruvu Shooting

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Mar 2020
Kituo kinachofuata ni Ruvu Shooting

Kwa sasa ligi imesimama kwa baadhi ya timu ikiwemo Simba ambayo wachezaji wake wengi wameitwa timu ya Taifa 'Taifa Stars'

Lakini baada ya mapumziko hayo ya mechi za Kimataifa, Simba itaanza kwa kuumana na Ruvu Shooting katika mchezo ambao bado haujapangiwa tarehe

Ili kuhakikisha kikosi kinabaki katika ushindani, wachezaji ambao hawana majukumu ya Kimataifa wanaendelea na mazoezi uwanja wa Mo Simba Arena, Bunju

Simba imejiwekea malengo ya kutwaa ubingwa mapema na hesabu zinaweza kukamilika kama watashinda mechi tano tu zijazo

Mchezo dhidi ya Ruvu Shooting ni moja ya michezo hiyo inayofuata

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’