Okwi aanza mazoezi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Jan 2018
Okwi aanza mazoezi
Baada ya kurejea kutoka Uganda hapo jana, kiungo mshambuliaji wa Simba Emanuel Okwi ameanza mkoani Morogoro.

Okwi hajakuwemo kwenye kikosi cha Simba kwa zaidi ya wiki sita akisumbuliwa na maumivu ya shingo.

Uongozi wa Simba umethibitisha kuwa mchezaji huyo amepona kabisa na sasa yuko tayari kuendeleza moto wake wa kupachika mabao katika ligi kuu ya Vodacom.

Okwi ndiye kinara wa mabao katika ligi akiwa na mabao nane akifuatiwa na Habibu Kiyombo na Mohammed Rashidi wenye mabao saba kila mmoja.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’