Sven alitaka mabao zaidi mechi ya Singida United

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Mar 2020
Sven alitaka mabao zaidi mechi ya Singida United

Pamoja na kuwapa pole Singida United kwa kufumuliwa mabao 8-0 na Simba jana, Mkufunzi wa mabingwa hao watetezi Sven Vandenbroeck amesema, timu yake ingefunga mabao zaidi kama washambuliaji wake wangekuwa makini

Simba ilitawala mchezo huo uliopigwa uwanja wa Uhuru kwa muda wote na pengine mabao zaidi yangefungwa kwenye kipindi cha pili baada ya Haruna Moshi kutolewa nje kwa kadi nyekundu

Hata hivyo Sven amewapongeza vijana wake kwa kazi nzuri kwa kujiongezea mabao nane na alama tatu muhimu

"Nawapa pole wapinzani lakini nafikiri tungekuwa makini zaidi kipindi cha pili tungefunga zaidi"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’