Kagere apiga hat-trik ya sita VPL

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Mar 2020
Kagere apiga hat-trik ya sita VPL

Mshambuliaji hatari wa Simba Meddie Kagere, mabao yake manne aliyofunga kwenye mchezo dhidi ya Singida United jana, yamemfanya awe mchezaji wa sita kufunga hat-trik msimu huu

Aidha Mnyarwanda huyo amezidi kujichimbia kileleni katika mbio za kuwania kiatu cha dhahabu baada ya kufikisha mabao 19

Akizungumza baada ya kukabidhiwa mpira wake jana, Kagere alisema ataendelea kufunga mara nyingi kadiri anavyopata nafasi

"Nikipata nafasi natumia, kila nafasi ninayopata inabidi niitumie sababu kama mshambuliaji natakiwa kufunga magoli. Hakuna kinachohitajika zaidi ya kufunga magoli," alisema Kagere

Bosi huyo wa safu ya ushambuliaji ya Simba anaweza kuivunja rekodi yake ya mabao 23 aliyofunga msimu uliopita

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
29m ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’