Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa mwamba huyu kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Deo Kanda
Kanda aliyetua kwa mkopo akitokea klabu ya TP Mazembe, amekuwa na mchango mkubwa kwenye kikosi cha Simba ambapo amefunga mabao manne kwenye ligi
Changamoto ya majeruhi imekuwa ikimuweka nje mara kwa mara
Amerejea kikosini hivi karibuni na alikuwa sehemu ya kikosi cha Simba kilichocheza na Yanga juzi
Tunamtakia kila la kheri kwenye siku hii muhimu ya kumbukumbu kwake
HAPPY BIRTHDAY DEO KANDA...!
ADVERTISE HERE