Tarehe kama ya leo alizaliwa kiungo mwenye mguu wa kupiga mashuti makali Said Khamis Ndemla
Ni miongoni mwa wachezaji waliodumu kwa muda mrefu kunako klabu ya Simba pamoja na kuwa msimu huu amekuwa na nafasi ndogo ya kucheza
Kwa sasa anasumbuliwa na majeraha, pengine ataonekana kwenye michezo ijayo ya ligi baada ya kupona majeraha yanayomsumbua
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu hya kumbukumbu
HAPPY BIRTHDAY NDEMLA...!
ADVERTISE HERE