Simba dimbani dhidi ya Singida United leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Mar 2020
Simba dimbani dhidi ya Singida United leo

Mabingwa wa nchi Simba leo wanawakaribisha Singida United kwenye mchezo wa ligi kuu ambao utapigwa uwanja wa Uhuru majira ya saa 10 jioni

Baada ya kupoteza mchezo uliopita dhidi ya watani zao Yanga, kwa Simba huu ni mchezo muhimu kuondoka alama zote tatu

Katika mechi 11 zilizobaki Simba inahitaji kushinda michezo saba, hesabu inaanzia kwenye mchezo huu

Vijana wa Sven vandenbroeck walifanya mazoezi ya mwisho jana kwenye uwanja wa Mo Simba Arena tayari kuwakabili vibonde hao wa Ligi kuu ambao wanashika nafasi ya mwisho wakiwa na alama 12

Pengine kalamu ya mabao inaweza kushuhudiwa pale dimba la Uhuru

Kocha Sven huenda akawapumsidha baadhi ya nyota wake ambao juzi walicheza dhidi ya Yanga

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
8h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
11h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’