Nyoni nje wiki mbili

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 Mar 2020
Nyoni nje wiki mbili

Beki kisiki wa Simba Erasto Nyoni atakaa nje kwa wiki mbili kutokana na majeraha aliyopata kwenye mchezo dhidi ya Yanga uliopigwa juzi

Taarifa iliyotolewa na uongozi wa Simba mapema leo, imebainisha kuwa Nyoni alipata majeraha ya kifundo cha mguu

Nyoni ni miongoni mwa wachezaji wa Simba walioitwa na kocha Etienne Ndayiragije kuunda kikosi cha Stars ambacho kitashiriki michuano ya CHAN itakayofanyika Cameroon mwezi ujao

Wengine ni Aishi Manula, Mohammed Hussein, Jonas Mkude, Hassan Dilunga na John Bocco

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
44m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’