Baada ya mshikemshike wa mpambano wa watani wa jadi kumalizika, Ligi Kuu ya Vodacom inaendelea leo ambapo inaingia mzunguuku wa 28
Mechi saba zinatarajiwa kupigwa katika viwanja mbalimbali kama inavyoonekana hapo chini;
Aidha mabingwa watetezi Simba ambao ndio vinara wa ligi hiyo, wao watashuka dimbani kesho Jumatano kuwakaribisha Singida United katika mchezo ambao utapigwa uwanja wa Uhuru

ADVERTISE HERE