Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck ametwaa tuzo ya kocha bora wa mwezi Februari 2020 akiwashinda Hatimana Thiery wa Namungo na Abdul Mingange wa Ndanda alioingia nao fainali
Kwa upande wa mchezaji bora wa mwezi, tuzo imekwenda kwa mshambuliaji wa Ndanda Fc, Vitalis Mayanga
Mayanga ametwaa tuzo hiyo akiwashinda Reliants Lusajo na Blaize Bigirimana wote wa Namungo Fc
Washindi watajipatia fedha Taslim Tsh Milioni moja na king'amuzi cha Azam TV
ADVERTISE HERE