Mo awataka Yanga kombe la FA

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Mar 2020
Mo awataka Yanga kombe la FA

Pamoja na kuwapongeza Yanga kwa kuweza kushinda mchezo wa watani wa jadi jana, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' ametamani kukutana tena na Yanga kwenye michuano ya kombe la FA

Simba na Yanga zote zimetinga robo fainali ya michuano hiyo na lolote linaweza kutokea kwenye droo ya raundi ya sita

"Hongereni Sana wana Yanga. Mungu akitujalia tutakutana kwenye FA," aliandika Mo kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

Pamoja na kupoteza mchezo huo, takwimu za dakika 90 zinaonyesha ni Simba iliyotawala mchezo na kutengeneza nafasi nyingi zaidi kuliko wapinzani wao Yanga

Hata hivyo kukosekana kwa umakini kwa washambuliaji kuliinyima Simba nafasi ya kuondoka na angalau alama moja

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
4h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’