Mashabiki 59,325 wameshuhudia mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga dhidi ya Simba uliopigwa jana uwanja wa Taifa
Pamoja na Yanga kuwa mwenyeji, ni Simba iliyoingiza mashabiki wengi zaidi
Aidha taarifa ya TFF imebainisha kuwa jumla ya Tsh Milioni 545,422,000/- zimepatikana kwenye mchezo huo

ADVERTISE HERE