Tutarejea tukiwa imara - Zimbwe Jr

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Mar 2020
Tutarejea tukiwa imara - Zimbwe Jr

Nahodha Msaidizi wa Simba Mohammed Hussein 'Zimbwe Jr' amewaomba mashabiki wa timu hiyo baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Yanga jana kwa kufungwa bao 1-0

Zimbwe amesema matokeo hayo yamewaumiza wao wachezaji lakini anaamini watarejea wakiwa imara zaidi

"Jana tulipoteza mchezo wetu muhimu sana wa dabi, tunawaomba radhi mashabiki wetu. Tunaahidi tutarejea tukiwa imara zaidi," amesema Zimbwe Jr

Simba ilikosa bahati kwenye mchezo huo kwani licha ya kutengeneza nafasi nyingi, washambuliaji walishindwa kuutumukiza mpira kimiani

Pengine mlinda lango wa Yanga Metacha Mnata alikuwa kikwazo kwani aliokoa hatari nyingi langoni kwa timu yake

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
12h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’