Ujumbe wa Manara kwa Wanasimba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Mar 2020
Ujumbe wa Manara kwa Wanasimba

Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara amewataka wapenzi, wanachama na mashabiki wa klabu hiyo wasahau matokeo ya mchezo wa jana dhidi ya Yanga, wasonge mbele katika lengo la kutetea ubingwa

Manara amewapa salamu wanasimba kuhusu uhimu wa kuendeleza umoja kuelekea kumaliza msimu

"Wanasimba wenzangu niwape salaam zangu fupi za kuwaomba kwanza tukubali tumepoteza mchezo wa jana kwa kufungwa na timu ilyocheza vzuri kuliko sie"

"Tukubali hilo halibadiliki kwa sasa, najua tumeumia ila hiyo ndio football tuliyoichagua kuipenda"

"Kwa tamaduni zetu lazma tucharurwe kama ambavyo tungewacharura iwapo tungeshinda"

"Lakini maisha yanaendelea, muhimu kujipanga kwa mchezo unaofuata keshokutwa"

"Tusitoke katika reli na sote tunajua ubingwa upo mikononi mwetu,tusithubutu kumtafuta mchawi wala kulaumiana"

"Wametufunga kihalali kabisa na ni haki yao kutamba!! But Insha'Allah tutachukua ubingwa wetu"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
2h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
20h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’